Kama una suala lolote unaweza ukajoin moja kwa moja kwenye video chat then uliza kwa atakae kuwa na ujuzi atajibu on Time! Pia story mbalimbali za kupeana experience na connection za kazi na misanuo mbalimbali join na ulonge😁😁